Total Pageviews

Recent news

About Us

Powered by Blogger.

Pages

Monday, 16 February 2015


Read More

Monday, 9 February 2015


Read More

Thursday, 29 January 2015

JP PRODUCTION LEO HII WAKIWA KATIKA SHUGHULI YA UANDAAJI WA VIDEO YA KWAYA NA BAND


wakati wa maandalizi kwa ajili kurekodiwa






wauinbaji wakiimba na kucheza wakati wa kurekodiwa

 







Waalam wa vedeo recording wakiwa katika majukumu yao
Read More

Thursday, 22 January 2015

You can not have big God and be small
                               
                             1kor 14:33

Read More

Monday, 19 January 2015

Image00017

Image00019


Image00023


Image00027


Image00029


Image00031

Image00033


Image00005


Image00007


Image00009



Image00013
Read More

Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameteka mabasi saba ya abiria yanayofanya safari zake kati ya Jiji la Arusha na Nairobi, Kenya na kupora mali na fedha ambavyo thamani yake haijafahamika.
Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Jeshi la polisi, mkoani Arusha llitokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la Mbuga Nyeupe, wilayani Longido Mkoa wa Arusha baada ya watu hao kuweka mawe barabarani na kuwamuru abiria wote kutemka mmoja baada ya mwingine, kulala chini na kuwapekua kila kitu walichokuwa nacho.
DEREVA ALIYETEKWA ASIMULIA
Akisimulia mkasa huo, dereva wa basi la Perfect Trans, Joseph John, alisema kuwa watu hao waliokuwa na silaha za jadi yakiwamo mashoka, mapanga na sime, waliteka mabasi hayo majira ya saa 8 usiku.
“Hao jamaa walikuwa kama 50 hivi kwani waliteka magari yetu ambayo yalikuwa yamefuatana, wametuvua hadi viatu, saa yaani walipekua hadi wanawake waliamriwa kuvua nguo na kuporwa urembo wenye nakshi ya madini ya vito,” alisema John.
Alisema yeye alikuwa dereva wa kwanza kufika na basi katika eneo hilo na kuwa alipoona mawe yamepangwa kati kati ya barabara, aliamua kusimama na alipokuwa akijaribu kuyakwepa, alipigwa jiwe usoni hali iliyomfanya ashindwe kukimbia.
“Hata wengine walikuwa hawajafunika nyuso zao, tukio lilidumu kwa dakika zaidi ya shirini, kila walipomaliza kupekua watu wa basi moja waliwaamuru warudi ndani ya gari,” alisimulia.
Dereva mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Jabir Athumani, alisema baadhi ya majambazi hayo yalikuwa yakiita majina ya baadhi ya watu na kuwaamuru kutoa fedha walizokuwa nazo.
“Tunaomba vyombo ulinzi na usalama vifuatilie tukio hili kwa umakini wa hali ya juu ili kuwanasa wahusika wa tukio hili,” alisema Jabir.
Aidha, alililitaka Jeshi la Polisi lirudishe magari ya doria katika barabara ya Arusha–Namanga ambayo yaliondolewa Aprili mwaka jana.
POLISI: TUTAZUNGUMZA LEO
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuahidi kulitolea ufafanuzi leo.
“Hapa nipo katika majukumu mengine, sipo ofisini nitawapa taarifa za tukio lote Jumatatu (leo) mchana, naomba subiri nitafanya mkutano na vyombo vya habari na nitawapa maelezo ya tukio lote,” alisema Sabas.
Read More

Tuesday, 13 January 2015


mbunge wa mbeya mjinimh Joseph Mbilinyi anusurika katika ajali iliyotokea mkoani iringa wilaya ya kilolo eneo la mlima kitonga tarehe 10, inaelezwa kuwa chanzo cha ajali ni kufeli kwa break iliyopelekea kuanguka kwa gari miguu juu kichwa chini. Gari aina ya Toyota rand cruser ambalo lilikuwa likiendeshwa na muheshimiwa huyo na ndani ya gari kulikuwa nawatu wanne na wote walitoka kwa usalama isipokuwa mh: sugu.

Gari ya sugu baada ya kupata ajali mkoani iringa








https://larrybway91.files.wordpress.com/2015/01/sugu-mr-sugu.jpg
muonekano wa gari baada ya ajali mlima kitonga mkoani iringa

https://larrybway91.files.wordpress.com/2015/01/sugu-mr-2.jpg
mbunge wa jimbo la mbeya akiwa hospitali kutibiwa majeraha
Read More

Recent News